Fomu za kujiunga na tarehe za usaili (interview)
Parokia ya Kisa jimbo la Mbeya tunapenda kuwatangazia fomu za maombi ya kujiunga
na shule ya sekondari ya Joseph Allamano na shule ya msingi ya Kisa
English Medium Pre & Primary School kwa mwaka wa masomo 2025 zinapatikana kwenye sehemu zifuatazo:
- Shuleni St. Joseph Allamano Secondary School
- Shuleni Kisa English Medium Primary School
- Dar es Salaam – Parokia ya Makuburi
- Jimboni Mbeya
- Parokia ya Uyole – Ofisi ya paroko
- Parokia ya Mlowo (madukani) – Ofisi ya paroko
- Parokia ya Kyela – Ofisi ya paroko
- Parokia ya Tunduma – Ofisi ya paroko
- Parokia ya Mwambani – Ofisi ya paroko
- Parokia ya Igogwe – Ofisi ya paroko
- Parokia ya Tukuyu – Ofisi ya paroko
- Parokia ya Mpuguso – Ofisi ya paroko
Karibuni sana St. Joseph Allamano Secondary School, karibuni sana Kisa English Medium Pre & Primary School.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba
0759 603 800 au
0756 679 203