Search Suggest

NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA (NA PRE-FORM ONE) MWAKA WA MASOMO 2027/28



Parokia ya Kisa Jimbo la Mbeya tunapenda kuwatangazia fomu za maombi ya kujiunga na Shule ya Sekondari ya  St. Joseph Allamano kwa mwaka wa masomo 2027 zinapatikana kwenye sehemu zifuatazo:
  1. Unaweza Download form kupitia Website yetu kwenye sehemu iliyoandikwa Download Joining Instruction Form
  2. Shuleni St. Joseph Allamano Secondary School
  3. Shuleni St. Joseph Allamano English Medium Pre & Primary School
  4. Dar es Salaam – Parokia ya Makuburi
  5. Jimboni Mbeya
  6. Parokia ya Uyole – Ofisi ya Paroko
  7. Parokia ya Mlowo (madukani) – Ofisi ya Paroko
  8. Parokia ya Kyela – Ofisi ya Paroko
  9. Parokia ya Tunduma – Ofisi ya Paroko
  10. Parokia ya Mwambani – Ofisi ya Paroko
  11. Parokia ya Igogwe – Ofisi ya Paroko
  12. Parokia ya Tukuyu – Ofisi ya Paroko

Karibuni sana St. Joseph Allamano Secondary School, Karibuni sana St. Joseph Allamano English Medium Pre & Primary School.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia 0756679203 au 0752 214 223.

Post a Comment